Kikao cha Baraza la Biashara la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kitafanyika tarehe 31/03/2017 saa 4:00 asubuhi katika Ukumbi Mkubwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa.
Kikao hicho kitahusisha wadau toka sekta binafsi, wataalam, wageni waalikwa na Wafadhili kutoka LIC (Local Investment Climate Project).
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.