Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa anawatangazia wananchi wake wa Mpwapwa waombaji wenye sifa kuomba nafasi za kazi za muda za Watendaji wa vituo vya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa nafasi ya waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki.
Anakaribisha maombi kwa kila mwenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi.
SIFA ZA MUOMBAJI.
Awe ni raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaid.
Awe amehitimu elimu ya kidato cha nne.
Awe mwenye ujuzi wa kutumia kompyuta au simu janja.
Awe ni mkaazi wa mtaa wa au kijiji katika kata anoyoomba.
Asiwe kiongozi au kada wa chama cha siasa
Awe uadilifu na mtiifu
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.