Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa inakusudia kufanya mnada wa hadhara wa kuuza Pikipiki 14 na Magari 2 kama ifuatavyo
AINA YA GARI
1.MITSUBISHI PICK UP yenye namba ya usajili STK 812
2.PICK UP NISSAN yenye namba ya usajili SM 3063
AINA YA PIKIPIK
1.DT YAMAHA yenye namba ya usajili STJ 3461
2.HONDA XL yenye namba ya usajili STK 2373
3.HONDA XL yenye namba ya usajili T993 AEK
4.HONDA XL yenye namba ya usajili STJ 6456
5.DT YAMAHA yenye namba ya usajili STK 1410
6.HONDA XL yenye namba ya usajili SM 5702
7.HONDA XL yenye namba ya usajili SM 5703
8.HONDA XL yenye namba ya usajili SM 5706
9.HONDA XL yenye namba ya usajili SM 5707
10.HONDA XL yenye namba ya usajili STH 1933
11.HONDA XL yenye namba ya usajili STH 1988
12.DT YAMAHA yenye namba ya usajili SM 3353
13.DT YAMAHA ........
14.HONDA XL yenye namba ya usajili STJ 3457
Magari na pikipiki vyote vipo Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa.
MASHARTI YA MNADA
1.Mnunuzi atalipa asilimia 25% ya bei iliyofikiwa papo hapo baada ya nyundo ya dalali kushuka na kiasi cha 75% kilichobaki kitalipwa ndani ya siku 14 baada ya siku ya mnada.Atakae shindwa kulipa asilimia 75% katika muda huo ushindi wake utafutwa na hatorudishiwa kiasi alichotanguliza na mali hiyo itarudishwa tena.
2.Ukaguzi wa magari utafanyika siku tatu kabla ya mnada kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi 8:00 mchana.
3.Gharama zote pamoja na usafiri,malazi,ukaguzi na kuhamisha umuliki wa mali ni juu ya mnuuzi mwenyewe.
4.Ikumbukwe kuwa magari na pikipiki hayajalipiwa kodi ni wajibu wa mnunuzi kulipa kodi husika Serikalini.
5.Magari na pikipiki yatauzwa kama yalivyo na jinsi yanavyoonekana.
6.Mnada utafanyika tarehe 14.5.2024 kuanzia saa4:00 asubuhi eneo la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Makao Makuu ya Halmshauri
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.