Tuesday 21st, January 2025
@
Kikundi cha ngoma za Kigogo kikitumbuiza katika shamra shamraza mapokezi ya Mwenge, tarehe 20.06.2017 Wilayani Mpwapwa.
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri Pamoja na Viongozi mbali mbali wa Wilaya ya Mpwapwa wakiwa katika harakati za kuupokea Mwenge wa Uhuru.
Mapokezi ya Mwenge yanaendelea wa kwanza Kushoto ni Mhe Donati Ngh'wenzi, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mpwapwa akifuatiwa na Ndugu Mohamed Maje Mkurugenzi Mtendaji na watatu ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. George Fuime.
Wadau mbali mbali wa Wilaya ya Mpwapwa wakiwa katika harakati za kuupokea Mwenge wa Uhuru.
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri akiupokea Mwenge.
Uzinduzi wa Kiwanda cha kusindika karanga, Kiwanda hiki kipo Katika Kata ya Mpwapwa maeneo ya Ilolo.
Usihaji wa mbegu za Korosho katika Shamba darasa la Korosho katika jeshi la Magereza Wilayani Mpwapwa.
Uzinduzi wa Madarasa pamoja katika Shule ya Msingi Pwaga.
Uzinduzi wa Matundu ya Vyoo katika Shule ya Msingi Pwaga.
Uzinduzi wa Mradi wa Maji
Pakua hapa : RISALA YA UTII YA WANANCHI WA WILAYA YA MPWAPWA KWA MHE. RAIS
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.