Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji wameendelea kupata mafunzo ya namna ya uendeshaji wa shuhuli za Serikali za Mitaa leo Januari 30,2025 katika Kata ya Mtera,Chipogoro,Rudi na Mlunduzi.
Lengo kuu la mafunzo hayo ni kuwapa uwezo Viongozi hao katika utekelezaji wao wa majukumu ya Kiuongozi katika Kata zao.
Halikadhalika Afisa Utawala Bora Wilaya Bw.Thomasi Magari ameelezea muundo wa kamati za Halmashauri ya Kijiji na majukumu yake pamoja na kazi ya kila Kamati na kutoa msisitizo kwa viongozi kuzingatia kuitisha kwa mikutano ya kila robo ili iweze kusaidia utoaji ŵa maamuzi wakati wanapofanya Mkutano mkuu.
Nae Afisa Mipango Wilaya Bw.Dismas Pesambili amewataka Viongozi wa Vijiji na Vitongoji wawe…
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.