Mradi wa Hostel upo katika kituo cha mafunzo cha wanyamakazi Kibakwe. Mradi huu Umejengwa na Halmashauri kwa kushirikiana na Ufadhiri wa Taasisi ya LIC. Ni Mradi ulioanza kutekelezwa mwaka 2014 na umekamilika mwaka 2017. Mradi umegharimu kiasi cha sh 92,000,000.00 . Mradi umenuia kuwapa malazi washiriki wa mafunzo mbali mbali wanaotoka nje ya kata ya Kibakwe.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.