Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe Dkt Sophia Mfaume kizigo leo Agosti 15,2025 ameendelea na ziara yake ya kikazi ya kutembelea miradi ya kimaemdeleo na kuskiliza na kutatua kero za Wanachi katika Jimbo la Mpwapwa na kukagua.
-Ukamilishaji wa Zahanati ya kijiji cha Mlembule
_Ujenzi wa matundu saba ya vyoo katika kituo cha Afya Mbori
_Uboreshaji wa miundombinu ya Afya katika kituo cha Afya Mbori,ikiwemo Kinawiya mikono,kichomea taka pamoja na tanki la Maji
_Ukamilishaji wa Zahanati ya kijiji cha Makutupa
_Ujenzi wa Zahanati ya Lupeta
Na kufanya mkutano wa hadhara na Wanachi wa kila kata kwa lengo la kuskiliza kero zao n kuzipatia utatuzi.
"Kero yako wajibu wangu"
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.