TASAF ni mradi wa kunusulu kaya masikini nchini Tanzania, kwa upande wa Halmashuri ya Mpwapwa pamoja na kutoa misaada ya kunusulu kaya masikini, mradi huu unatoa elimu ya namna ya kujikwamua katoka katika umasikini.
Kwa siku ya leo TASAF imetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo wakuu wa idara na vitengo ili baadae waweze kuwafundisha walengwa wa mradi kwa maana kaya masikini. Katika mafunzo hayo mada mbalimbali zilifundishwa kama vile jinsi ya kuwekeza kwa mtaji mdogo, kuweka akiba, jinsi ya kuandaa andiko la biashara, kutambua fursa, kujitegemea, kufanyakazi mbadala ili kujikwamua katika umasikini.
Mwezeshaji wa TASAF Akitoa Mafunzo
Washiriki Wakifuatilia Kwa Umakini Mafunzo
Mwezeshaji Akitoa Ufafanuzi Juu ya Kutunza Akiba
Kwa maelezo zaidi pakua nyaraka hapa chini:
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.