Mueka Hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Ndg Khadija Bofu ametembelea maonesho ya nane nane yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni_Dodoma leo Agosti 7,2025 na kukaagua banda ya Lishe,uuzaji wa viungo na nafaka mbali mbali ,mifugo na uvuvi ya Halmashauri ya Mpwapwa.
#Wizarayakilimo
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.