Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe Dkt Sophia Mfaume kizigo leo Agosti 12,2025 ameanza ziara yake ya kikazi ya kutembelea miradi ya kimaemdeleo na kuskiliza na kutatua kero za Wanachi katika Jimbo la Kibakwe na kukagua.
-Ujenzi wa vyumba tisa 09 vya
madarasa,matundu 10 ya vyoo na umaliziaji wa Shule ya Sekondari Mang'aliza pamoja na umaliziaji wa zahanati.
-Shule ya Sekondari Massa na matundu ya vyoo
-Umaliziaji wa Ofisi ya Kata Massa,Ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa na matundu nane ya vyoo katika Shule ya Sekondari Massa.
Na kufanya mkutando wa hadhara na Wanachi wa kila kata kwa lengo la kuskiliza kero zao n kuzipatia utatuzi.
"Kero yako wajibu wangu"
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.