Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Bi Mwanahamisi H Ally leo Agosti 7,2025 ametembelea maonesho ya Nanae nane katika eneo lake la Halmashauri ya Mpwapwa na kukagua vipando vya mboga mbali mbali na nafaka akiambatana na maafisa kilimo waliokuwepo eneo hilo la viwanja wa Nzuguni_Dodoma na kuweza kujifunza vitu mbali mbali vikiwemo mbegu walizotumia kuoteshe mazoa hayo na muda wa ukomavu wa mazao hadi kufikia mda wa mavuno.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.