Mhe Dkt Sophia M Kizigo Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa amefanya ziara yake ya kikazi wilayani Mpwapwa leo Januari 20,2026 na kukagua mirandi mbalimbali ya kimaendeleo inayoendelewa kujengwa katika Wilaya hiyo.
Wakati wa ziara yake hiyo amekagua Shule ya Sekondari ya Amaili Mmbuyuni,Berege Sekondari sekondari Gulwe,Mount Igovu Sekondari pamoja na Ujenzi wa Ofisi mpya ya Halmashauri.
Pia ujenzi wa Shule ya Sekondari Sijila iliyogharimu kiasi cha Shiling 544,225,626 hadi kukamilika kwake.Mabweni ya wasichana shule ya Sekondari Kimagai "A" na Matundu sita pamoja na madarasa manne ya Shule ya Sekondari Ving'awe vilivyogharimu kiasi cha Shilingi 152,400,000.











Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.