Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa imenunua gari aina ya Toyota Prado TXL lenye thamani ya Shilingi za kitanzania Milioni mia moja sitini na mbili (Tsh. 162,000,000) . Gari hilo limenunuliwa kwa ajili ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa baada ya gari alilokuwa analitumia kuharibika na kuwa na gharama kubwa za matengenezo na hivyo Halmashauri kushindwa kulitengeneza.
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa wakiliangalia Gari jipya la Mkurugenzi, wakielekezwa kila sehemu ya gari hilo.
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa wakipiga picha na gari jipya la Mkurugenzi.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.