DED MPWAPWA ASHIRIKI UZINDUZI WA KILIMO CHA KIDIGITAL
Posted on: July 16th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji Bi Mwanahamisi H Ally Leo Julai 16,2025 ameshiriki Uzinduzi wa Mfumo wa Kidigitali wa Utambuzi wa Maafisa Ugani na Programu ya Mali Shambani uliofanyika Kongwa,Mtanana.