Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe Dkt Sophia Mfaume Kizigo amefanya ziara ya kukagua Miradi ya kimaendeleo katika Kata ya Luhundwa na kukagua kichomea taka,mnara wa tanki pamoja na matundu mawili ya vyoo ya wahudumu wa kituo cha Afya Mpwanila katika kijijini cha Kidenge.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.