Agosti 13,2025 ni siku ya pili ya muendelezo wa ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mh Dkt Sophia M Kizigo kukagua miradi ya kimaendeleo na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitatua.
Katika ziara ÿake hiyo ametembelea na kukagua miradi mbali mbali ikiwemo
-Ujenzi wa vyumba 09 vya madarsa shule ya sekondari lufu.
-Ujenzi wa shule ya sekondari ya Simbachawene
-Ujenzi wa vyumba 03 vya madarasa na matundu 08 ya vyoo Luhundwa sekondari.
--Ujenzi wa shule ÿa sekondari Sijila.
Pamoja na Kuzungumza na wananchi katika Kata zote.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.