Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe Dkt Sophia Mfaume kizigo Agosti 14,2025 ameendelea na ziara yake ya kikazi ya kutembelea miradi ya kimaemdeleo na kuskiliza na kutatua kero za Wanachi katika Jimbo la Kibakwe na kukagua.
-Ujenzi wa vyumba saba vya madarasa na matundu nane ya vyoo Wotta Sekondari
_Umaliziaji wa Bwalo.la Chakula Wotta Sekondari
_Ujenzi wa kituo cha Afya Wotta_Wangi(TASAF)
_Umaliziaji wa vyumba nane vya madarasa Wangi Sekondari
_Umaliziaji wa Bweni la Wanafunzi Kibakwe Sekondari
_Ujenzi wa jengo la Maabara kituo cha Afya Kibakwe
_Ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa na matundu sita ya vyoo Shule ya Msingi Kingiti
_Umaliziaji wa vyumba wiliwi vya madarsa Lukole Sekondari
Na kufanya mkutano wa hadhara na Wanachi wa kila kata kwa lengo la kuskiliza kero zao n kuzipatia utatuzi.
"Kero yako wajibu wangu"
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.