Baraza la Biashara la kwanza limefanyika Disemba 23,2025 katika ukumbi wa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa na kuongozwa na kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe Mayeka Simon Mayeka ambalo limejumuisha sekta za Umma na sekta binafsi.
Pia limehudhuriwa na wageni mbali mbali kutoka Baraza la Biashara Taifa pamoja na BRELA ambao wote kwa pamoja wamezungumzia Mazingira bora na rafiki kwa pamoja na wafanya biashara wa Wilaya ya Mpwapwa kwa kuimarisha Mazingira yao pamoja kuwa na leseni sitahiki za biashara zao.











Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.