ARO KATA WILAYA WAPATA MAFUNZO YA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU
Afisa Muandikishaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Bw.Dismas Pesambili amefungua mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura Ngazi ya kata leo Disemba 19,2024 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Mpwapwa.
Wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo hayo amewataka ARO kata hawa waache kutumia uzoefu wa kazi hii na shuhuli nyengine walizozifanya uko nyuma kwani kila Shuhuli ina Sheria na Kanuni zake
Nae Mjumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi Mhe.Magdalena Rwebangira amewapongeza watendaji kata wote kwa kuchaguliwa na Kuaminiwa na Tume pamoja na kula kiapo cha kazi hiyo.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.