Sunday 22nd, December 2024
@KATA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MPWAPWA
Timu ya TFDA ya Wilaya ya Mpwapwa ilianza ukaguzi wa maduka ya vyakula, dawa na vipodozi katika kata za Mpwapwa mjini, Godegode, Luhundwa, Pwaga, Kibakwe, Berege, Mima, Mtera, Chipogoro, Kingiti, Gulwe, Nghambi, Chunyu, Lupeta na Kimagai mnamo tarehe 24/07/2017 hadi tarehe 29/09/2017, na kubaini kuwa maduka mengi ya vijjijini wanauza bidhaa zilizokwisha muda wake na wachache wanauza bidhaa ambazo haziruhusiwi kabisa. Hapa pichani baadhi ya bidhaa zilizokwisha muda wake zilizo kamatwa madukani.
picha hii hapo juu inaonyesha mafuta ya kujipaka yaliyokwisha muda wake wa matumizi
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.