Saturday 21st, December 2024
@UKUMBI WA HALMASHAURI
Mkutano wa Mwaka wa Baraza la Madiwani kwa kipindi cha Mwaka wa fedha 2023/2024 umefanyika leo Agosti 6,2024 katika ukumbi wa Halmashauri kwa lengo la kupitisha taarifa ya utekelezaji wa shuhuli za Idara na Vitengo,kupitia mapendekezo ya ratiba ya vikao vya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 202/2025,kufanyika kwa Uchaguzi wa Makamo mwenyekiti na Uchaguzi wa wenyeviti wa Kamati za Halmashauri.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.