Tuesday 21st, January 2025
@Mahali: Ukumbi wa Shule ya Msingi Chazungwa
Mafunzo ya kamati za Shule za Msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa.
Mafunzo haya yalianza tarehe 11/04/2017 hadi tarehe 14/04/2017, na yamejumuisha washiriki ambao ni walimu wakuu kutoka shule za Msingi 117 na waratibu kutoka katika kata 33.
Madhumini ya mafunzo haya ni kuzijengea uwezo kamati za shule za Msingi zote katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa.
Washiriki wakifuatilia mafunzo wakati wa uwasilishaji wa mada kutoka katika makundi.
Wawezeshaji wa mafunzo wakiwa wakiwa tayari kutoa mada ya kufundisha.
Washiriki wakiwa katika mafunzo wakati wawezeshaji wakiwa wanaendelea kutoa mafunzo.
Washiriki wakiwa katika makundi kujadili mada zilizowasilishwa na wawezeshaji.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.