Sunday 22nd, December 2024
@Mahali: Viwanja vya Shule ya Msingi Ilolo
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa yaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Tarehe 08/03/2017. Mgeni rasmi katika maadhimisho haya ni Mh. Jabir Shekimweri, Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa. Maadhimisho hayo yamefanyika kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Ilolo Wilayani Mpwapwa na yamejumuisha wananchi wote.
Katika maadhimisho hayo mambo kadha yamefanyika ikiwa pamoja na:-
Baadhi ya Wadau mbalimbali walioshiriki kwenye maadhimisho hayo ya siku ya Wanawake Duniani wakionyesha bidhaa zao kwa Mkuu wa Wilaya wa Mpwapwa, Mh. Jabir Shekimweri.
Baadhi ya Wadau mbalimbali walioshiriki kwenye maadhimisho hayo ya siku ya Wanawake Duniani wakionyesha bidhaa zao kwa Mkuu wa Wilaya wa Mpwapwa, Mh. Jabir Shekimweri.
Baadhi ya Wadau mbalimbali walioshiriki kwenye maadhimisho hayo ya siku ya Wanawake Duniani wakionyesha bidhaa zao kwa Mkuu wa Wilaya wa Mpwapwa, Mh. Jabir Shekimweri
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.