Ndug. Paul Mamba Sweya kitaaluma ni Mhasibu ambapo kwa sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa akitokea Manispaa ya Iringa Mkoani Iringa. Ameanza kazi rasmi ya kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa mwezi Agosti 2018 baada ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Joseph Pombe Magufuli kumteua kushika wadhifa huo mwezi Agosti 2018. Alipokuwa Iringa alikuwa Mweka Hazina wa Manispaa hiyo.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 784399016
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Haki Miliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa - Haki zote zimehifadhiwa