Meneja wa Tawi la Banki ya CRDB Ndg: Christopher Mshanga ametoa Elimu ya Hati Fungani(SAMIA BOND)
na namna gani unaweza kuhifadhi pesa zako na kuweza Kuengezeka.
Lengo kuu uhifadhi wa Fedha hizo ni kusaidia Miradi ya Tarura kuweza kwenda kwa Kasi bila kukwamisha na chochote..
Hati fungani haitoruhusu Mteja kuitoa fedha hiyo hadi itimie Miaka mitano,na huku faida ya hakiba yako ikiengezeka kila baada miezi mitatu.
Elimu hayo ya Hati Fungani imetolewa leo Januari 6,2025 katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.