Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaaliwa Majaaliwa amefungua maonreshob ya Kitaifa ya Wakulima ya nanenane ambayo Kitaifa yanafanyika Viwanja vya nanenane Nzuguni Jijijini Dodoma Agoosti 1,2024.
Maenyesho hayo yanaendeshwa na kauli mbiu isemayo"Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo endelevu ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.