Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa waadhimisha Mei Mosi ambapo katika ngazi ya Mkoa maadhimisho ya Siku kuu ya Wafanyakazi yamefanyika Mkoani Dodoma katika viwanja vya Jamhuri na kuhudhuriwa na Mgeni Rasmi Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Jabir Shekimweri ambaye ni Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa.
Watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa katika picha ya Pamoja Mkoani Dodoma mara baada ya Maadhimisho leo, tarehe 01.05.2017
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.