Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Magdalena Rwebangira akifungua Mafunzo ya siku mbili kwa Watendaji wa Uandikishaji Ngazi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Leo tarehe 16 Desemba, 2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma. Mafunzo hayo yatahitimishwa kesho tarehe 17 Desemba, 2024. Mafunzo haya pia yanafanyika katika Mikoa ya Iringa na Mbeya na zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura litaanza kufanyika kuanzia tarehe 27 Desemba, 2024 Hadi tarehe 02 Januari, 2025
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.