Wakuu wa idara na vitengo pamoja na wasaidizi wao watatu kutoka kila idara wamepatiwa mafunzo ya nanma ya kutumia mfumo wa PLANREP na FFARS. Mafunzo hayo yalianza tarehe 20/09/2017 na kumalizika tarehe 24/09/2017 ambapo washiriki walipatiwa mafunzo toka kwa wataalam wa Halmashauri ya Mpwapwa pamoja na maafisa toka OR-TAMISEMI waliopata Mafunzo kama haya tarehe 28/08/2017 mpaka 05/09/2017 mkoani Dodoma.
Kwa sasa washiriki wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa waliopatiwa mafunzo wameelewa vizuri na wako tayari kuanza kuandaa bajeti kwa kutumia mfumo mpya PLANREP na FFARS.
Washiriki wa mafunzo ya PLANREP na FFARS wakifuatilia kwa makini maelezo ya Muwezeshaji.

Ili kupakua Muongozo wa Kutumia PLANREP na FFARS bofya hapa: MUONGOZO WA KUTUMIA MFUMO WA PLANREP NA FFARS.pdf
Ili kupakua ratiba yenye dondoo za PLANREP na FFARS bofya hapa: Ratiba ya Mafunzo ya PLANREP na FFARS..pdf
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.