Wananchi wa maeneo mbali mbali wilayani Mpwapwa wamejitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura ili waweze kuchagua viongozi wanaowafaa.
Jumla ya wapiga kura 204,649 wanatarajiwa kipiga kura katika vituo 595 leo Novemba 27,2024.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.