Katika Kuhakikisha jihada za kutunza Mazingira Sambamba na kuadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Bw.Dismas Pesambele imeunhana pamoja na Watanzania kuiadhimisha siku hii kwa Kupanda miti njia kuu ya Kwenda Dodoma Mjini pamoja na Eneo linalojengwa Nyumba ya Mkurugenzi na Wakuu wa Idara ambapo Jumla ya Miti 1351 imepandwa ikiongozwa na kauli Mbiu isemayo.
"Uzalendo ni Kutunza Mazingira,Shiriki Kupanda Miti






Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.