(Na: Shaibu J. Masasi, Afisa TEHAMA - Mpwapwa)
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Mpwapwa na Kibakwe Ndugu. Paul M. Sweya anawatangazia Wananchi wote wenye sifa kuomba Nafasi za Kazi za Muda katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, Mwisho wa kutuma Maombi ni Tarehe 10.12.2019 saa 12:00 Jioni.
Kwa maelezo zaidi pakua Tangazo hili hapa chini:-
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.