Shirika la ELICO FOUNDATION ambalo ni shirika Binafsi(NGO)
Liliingia wilaya ya Mpwapwa 1/11/2023
Waliaza kazi Rasmi 2024 na wamesaidia miradi katika Zahanati 5 zilizopo millimani
-Matonya
-Galiggali
-Nzugilo
-Mangaliza
-Kiboriani
Januari 9,2026 wametoa vifaaa mbali mbali vikiwemo Mfumo wa Sola
Pikipiki Kwa ajili ya watumishi
Vifaa vyaTehama(computer,ups,na printer)
Wamechimba kisima Zahanati ya mafene na hospital ya wilaya.
Tunashukuru sana Kwa msaada ambao umeenda kuleta ukombozi mkubwa wa kero ya nishati, usafiri,na Mfumo wa takwimu na maji.




Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.