Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Bi.Mwanahamisi H.Ally ameshiriki NBC Dodoma Marathon Julai 28,2024.
Lengo kuu la mbio hizi ni kukusanya fedha ili kusaidia mapambano dhidi ya Saratani ya Shingo ya Kizazi kwa Wanawake nchini pamoja na ufadhili wa masomo kwa Wakunga kupitia Taasisi ya Benjamini Mkapa.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.