Naibu waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa H. Aweso (MB) amefanya ziara Wilayani Mpwapwa hivi karibuni ambapo ametembelea miradi ya Maji Kimagai na Kikombo. Katika ziara hiyo aliweza kuongea na wananchi viongozi wao lakini pia alifika uwandani kujionea jinsi miradi hiyo inavyoendeshwa ambapo pamojana mambo mengine alipanda mpaka juu ya matanki ili ahakiki kama kuna maji.
Naibu waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa H. Aweso (MB) akiwa katika Mkutano wa Hadhara katika Kijiji cha Kimagai.
Naibu waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa H. Aweso (MB) akipanda Matangi yaliyopo Kikombo ili kuhakiki maji.
Naibu waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa H. Aweso (MB) akihutubia katika Mkutano wa Hadhara katika Kijiji cha Kimagai.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.