SM2 yazinduliwa rasmi Julai 29.7.2023 katika kiwanja cha Shule ya Msingi Chazungwa,lengo la mradi huu ni kuleta Mapinduzi ya kiuchumi katika Wilaya ya Mpwapwa katika sekta ya kiuchumi,ufugaji wa kisasa na mazingira.
Katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gereald Mweli,na kuahidi kuwa bega kwa bega ili kufanikisha mradi huu pia kuleta begu zenye ubora na kuleta wataalam wa kilimo katika Wilaya ya Mpwapwa.lengo ni kupata wataalam bora katika Wilaya.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.