Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe Dkt Sophia Mfaume kizigo leo Agosti 21,2025 ameendelea na ziara yake ya kikazi ya kutembelea miradi ya kimaemdeleo na kuskiliza na kutatua kero za Wanachi katika Jimbo la Kibakwe na kukagua miradi katika kata ya Malolo na Ipera.
_Ujenzi wa nyumba ya Mwalim 2in1 Malolo Sekondari
_Umaliziaji wa Chumba kimoja cha Shule ya Shikizi Lutalawe
_Umaliziaji wa nyumba ya Mwalim Shule ya Msingi Kikuyu
_Ukaguzi wa ujenzi wa mradi wa Jengo la Mahakama ya Mwanzo Ipera
Na kufanya mkutano wa hadhara na Wanachi wa kila kata kwa lengo la kuskiliza kero zao n kuzipatia utatuzi.
"Kero yako wajibu wangu"
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.