Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe Dkt Sophia Kizigo akiwa na Mkurugenzi Mtendaji Bi Mwanahamisi H Ally pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.George fuime wameshiriki Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo tarehe 11 Machi, 2025
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.