Waziri wa Ujenzi Mhe.Innocent Bshungwa amefanya iara ya kukagua miradi mbalimbali ya Ujenzi wa Barabara inayoendelewa kujengwa ikiwemo barabara ya Wilaya ya Mpwapwa yenye km7.5Wakati wa Ziara hiyo iliyofanyika januari 19 katika Wilaya ya Mpwapwa Mhe.Bashungwa ametoa Onyo kali kwa Wahandisi wote wababaishaji na kuwasisitiza Bodi ya Wahandisi na Bodi ya Wakandarasi kutimiza wajibu wao kwa kusirikiana na Tanroad katika ufanyaji kazi wao.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.