Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Dkt.Sophia Kizigo, akiwa njiani kuelekea kwenye ziara ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ambapo anatarajiwa kufanya ziara leo, katika Kituo cha Stesheni ya Mwendokasi Gulwe leo Januari 02,2026.


Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.