Mh.George Fuime Mwenyekiti wa Halimashauri ya Mpwapwa agawa Pikipiki kwa watendaji wa Kata Tisa,zoezi ambalo limeratibiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Ndugu: Mwanahamisi Ally.
Mkuu wa usalama barabarani Wilaya ya Mpwapwa Ndugu, ASP: Maison Matiko amewaeleza watendaji wa kata namna ya uzingatiaji wa sheria za barabarani ili kuepuka ajali.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.