• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mpwapwa District Council
Mpwapwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
        • Fedha
        • Biashara
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Mali asili
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Usafi na Mazingira
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Habari Mawasiliano na Tehama
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Mamlaka
      • Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mpwapwa
      • Mamlaka ya Maji Mpwapwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashuri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa mbali mbali
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo mbali mbali
    • Simulizi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video mbali mbali
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

DKT NCHEMBA AFANYA ZIARA WILAYANI MPWAPWA

Posted on: January 2nd, 2026

Serikali imedhamiria kukabiliana na mafuriko yanayosababishwa na mvua kwa kujenga Mabwawa zaidi ya 10 yatakayogharimu zaidi ya shilingi Bilioni 50 yatakayotumika kukusanya maji ya mvua yanayotiririka kutoka Milimani ili yasilete athari kwa wananchi na kwenye miundombinu hususan ya usafirishaji na nyinginezo.

Hayo yamebainishwa na Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba alipokua akizungumza na wakazi wa Kata ya Gulwe, Wilaya ya Mpwapwa alipofanya ziara ya kikazi Januari 02, 2026, kukagua maeneo yaliyoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha hususan miundombinu ya Reli.

“Serikali ya awamu ya sita ilipoingia madarakani ilianza ujenzi wa mabwawa kuanzia usawa wa Ruvu na Kidunda, tutajenga zaidi ya Mabwawa 10 ili kuelekeza na kuhifadhi maji yasilete mafuriko yaliyokua yakijitokeza, hivyo tumeshachukua hatua na hatua nyingine zinaendelea kukabiliana na masuala ya aina hii katika maeneo yanayohusisha Wilaya za Kilosa na Mpwapwa”.

Akitoa salamu za Mkoa, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema Mkoa wake ni miongoni mwa Mikoa inayoathirika na mvua lakini Serikali imeleta utatuzi wa muda mrefu kuepusha athari zaidi katika maeneo mbalimbali ya Wilaya za Mkoa huu na kubadirisha changamoto hizo kuwa fursa za kilimo.

“Kwa kipindi hiki maeneo mengi yamepatiwa utatuzi wa muda mrefu ambapo athari haziwezi kujirudia kwa kipindi kifupi hasa maeneo ya Mtanana (Kongwa), Fufu (Mpwapwa) na mengine mengi ambapo takribani shilingi Bilioni 64.3 zilitolewa kwa ajili ya kunusuru maeneo yanayoathirika na mafuriko”.

Vile vile, Mbunge wa Jimbo la Mpwapwa Mhe. George Malima, ameiomba Serikali kufikiria ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha lami kutoka Mpwapwa Mjini hadi Gulwe kwenye kituo cha Reli ya mwendo kasi sambamba na kituo cha huduma za afya kwa ajili ya dharura za kiafya zinazoweza kujitokeza kutokana na uwepo wa stesheni hiyo.

Waziri Mkuu amefanya ziara hiyo ili kukagua athari zilizojitokeza kwenye miundombinu ya Reli ya mwendo kasi (SGR) kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha msimu huu ambapo ameanzia katika Mikoa ya Dar es salaam, Morogoro na Dodoma ambayo  inapitiwa na Reli hiyo

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye usahili MpwapwaDC June 27, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa. 2022 April 20, 2022
  • Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa May 2022 May 31, 2022
  • Tangazo la kuahirishwa kwa Usahili Halmashauri ya Mpwapwa June 22, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MHE MALIMA AFUNGUA ZAHANATI YA MAKUTUPA

    January 30, 2026
  • ELIMU YA BIMA YA AFYA KWA UMMA YAWAFIKIA WANA MPWAPWA

    January 30, 2026
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI UMEJADILI BAJETI ŸA MAKISIO YA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    January 30, 2026
  • MWENYEKITI MAPONDA AWATAKA WANAVIKUNDI KUREJESHA MKOPO KWA WAKATI.

    January 30, 2026
  • Tazama zote

Video

Video ya Mpango wa Uuzaji wa Viwanja Eneo la Mazae Block "E" katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa -2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa
  • Muundo wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani
  • Ratiba ya Vikao vya Madiwani

Viunganishi Linganishi

  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Utumishi portal
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu Teknolojia na Sayansi
  • Sekretarieti ya Ajira

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mpwapwa - Dodoma, Tanzania

    Anwani: S.L.P 12

    Simu: 255 26 2320122/2320

    Simu ya Kiganjani: 0684705551

    Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovutii

Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.