Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa leo Agosti 6,2025 ametembelea mabanda mbali mbali ya Mbolea katika maonesho ya wakulima 88 yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni _Dodoma na kujifunza vitu mbali mbali huku akiambatna na wataalamu kutoka Wizara ya uvuvii.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.