Mkuu wa Wilaya Mhe DKt Sophia Kizigo ameongoza kikao cha kupitisha bajeti ya Halmshauri kilichohudhuriwa na Kamati kuu ya Ulinzi na Usalama Wialaya,Wakuu wa idara na vitengo,watendaji kata pamoja na wadau mbali mbali Januari 15,2026 katika Ukumbi wa Mkuu wa Wilaya.





Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.