Mkuu wa Wilaya Mh Dkt Sophia Kizigo amefanya ziara ya kukagua miradi mbali mbali ya kimaendeleo inayorajiwa kupitiwa na Mwenge wa Uhuru ambao unatarajiwa kupokewa Aprili 27,2025.
Miradi iliyokagulia ni pamoja na Kilimo,Afya,Miundombinu,vijana Utawala na Maji.
Aidha Dkt kizigo amewapongeza kwa hatua mbali mbali zilizofikiwa katika miradi na kusisitiza kufanyia kazi maboresho waliyoyatoa ili miradi hiyo ikamilike kwa haraka.
Ziara hiyo imefanyika Machi 19,2025 katika Wilaya ya Mpwapwa
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.