Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa leo Agosti 23,2025 ameendelea na ziara yake ya kukagua kiradi ya kiamendeleo na kuskiliza na kutatua kero za Wanachi katika kata ya Mtera,Chipogoro na Mlunduzi na kukagua Bweni la Wanafunzi,Nyumba walimu 3 in 1 na jengo la Zahanati linaloendelea kujengwa.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.