Januari 22,2026 kumefanyika kikao cha baraza la Wafanyakazi likiongozwa na kaimu Mkurugenzi Ndg Dismas Pesambili kupitia mapendekezo ya Bajeti ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2026-2027
Baraza hilo limefanyika katima Ukumbi wa halmashauri na kuhudhuriwa na na Wakuu wa Idara na vitengo pamoja na wafanyakazi mbali mbali wa Halmashauri ya Mpwapwa.










Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.