Thursday 2nd, January 2025
@Uwanja wa Jamhuri Dodoma
Sikuu ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itasherekewa katika Uwanja wa Jamhuri uliopo Manispaa ya Dodoma tarehe 26 Aprili 2018. Katika sherehe hizi mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Wananchi wote wa Wilaya ya Mpwapwa na Mikoa jirani mnakaribishwa kufika Dodoma kusherekea sherehe hizi.
Hayati Mhe. Mwl. Julius Kambarage Nyerere akichanganya mchanga wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili 1964 ili kuunganisha rasmi nchi hizo mbili
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.