Tuesday 21st, January 2025
@Mahali: Hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa
Huduma ya Kliniki tembezi ya Madaktari bigwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa.
Huduma hii ya Kliniki tembezi ya Madaktari bigwa ilizinduliwa na Mh. George Boniface Taguluvala Simbachawene, Mbunge wa Jimbo la Kibakwe na Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa tarehe 13/03/2017 na kumalizika 17/03/2017.
Huduma zilizotolewa ni kama zifuatazo:
Magojwa ya watoto, wakina mama, wazazi na wajawazito, magonjwa yasioambukizwa, magonjwa ya kinywa na memo, magonjwa ya wanaume na njia ya mkojo, magonjwa ya macho na huduma ya miwani, magonjwa mchanganyiko na upasuaji, magonjwa ya mifupa na vipimo vya aina yote vilipatikana.
Gharama zilikuwa nafuu: Kumuona daktari bigwa ni Tsh: 5,000/= na gharama za upasuaji ni Tsh: 30,000/= tu, pia bima za afya za NHIF zilitumika,
Wagonjwa wakiwa kwenye foleni ya kupata huduma ya afya katika Hospitali ya Wilaya ya Mpwapwa

Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.