Na: Shaibu J. Masasi, Afisa TEHAMA - Mpwapwa Dc
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa anawatangazia waombaji wa nafasi za Utendaji wa Kijiji waje kwenye usahili utakaofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa tarehe 19 Novemba 2020.
Kwa Maelezo zaidi Pakua Nyaraka hizi:
Tangazo la Kuitwa Kwenye Usahili Tarehe 19 Novemba 2020- Mpwapwa DC.pdf
Orodha ya Wanaoitwa Kwenye Usahili Tarehe 19 Novemba 2020 na 20 Novemba 2020 Mpwapwa DC.pdf
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.